Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 7:18

Walawi 7:18 NEN

Kama nyama yoyote ya sadaka ya amani italiwa siku ya tatu, BWANA hataikubali. Haitahesabiwa kwake huyo aliyeitoa, kwa kuwa ni najisi. Mtu atakayekula sehemu yake yoyote atahesabiwa hatia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Walawi 7:18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha