Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 6:17

Yoshua 6:17 NEN

Mji huu pamoja na vyote vilivyomo ndani yake utawekwa wakfu kwa BWANA. Ila Rahabu tu, yule kahaba na wote ambao wako pamoja naye nyumbani mwake ndio watakaosalimishwa, kwa sababu aliwaficha wale wapelelezi tuliowatuma.