Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 4:21-23

Yoshua 4:21-23 NEN

Akawaambia Waisraeli, “Wazao wenu watakapowauliza baba zao siku zijazo wakisema, ‘Mawe haya maana yake ni nini?’ Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’ Kwa maana BWANA Mungu wenu alikausha maji ya Yordani mbele yenu, hadi mlipomaliza kuvuka. BWANA Mungu wenu alifanya haya kwa Mto Yordani sawasawa na kile alichoifanyia Bahari ya Shamu wakati alipoikausha mbele yetu hadi tulipomaliza kuvuka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoshua 4:21-23