Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 11:23

Yoshua 11:23 NEN

Hivyo Yoshua akaiteka nchi hiyo yote kama vile BWANA alivyokuwa amemwagiza Mose, naye Yoshua akawapa Israeli kuwa urithi wao, kulingana na walivyogawanyika katika kabila zao. Ndipo nchi ikawa na amani bila vita.