Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 6:48-51

Yohana 6:48-51 NEN

Mimi ni mkate wa uzima. Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa. Mimi ni mkate wa uzima ule uliotoka mbinguni. Mtu yeyote akiula mkate huu, ataishi milele. Mkate huu ni mwili wangu, ambao nitautoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 6:48-51