Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 17:11

Yohana 17:11 NEN

Mimi sasa simo tena ulimwenguni, lakini wao bado wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, uwalinde kwa uweza wa jina lako ulilonipa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 17:11