Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 16:20

Yohana 16:20 NEN

Amin, amin nawaambia, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi. Ninyi mtahuzunika, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 16:20