Yohana 14:5-7
Yohana 14:5-7 NENO
Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakoenda, tutaijuaje njia?” Isa akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kupitia kwangu. Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”