Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:1-3

Yohana 14:1-3 NEN

Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia. Nyumbani kwa Baba yangu kuna makao mengi. Kama sivyo, ningeliwaambia. Naenda kuwaandalia makao. Nami nikienda na kuwaandalia makao, nitarudi tena na kuwachukua mkae pamoja nami, ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 14:1-3