Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 11:32-33

Yohana 11:32-33 NEN

Maria alipofika mahali pale Yesu alipokuwa, alipiga magoti miguuni Pake na kusema, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.” Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 11:32-33