Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 6:10

Yeremia 6:10 NEN

Niseme na nani na kumpa onyo? Ni nani atakayenisikiliza mimi? Masikio yao yameziba, kwa hiyo hawawezi kusikia. Neno la BWANA ni chukizo kwao, hawalifurahii.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha