Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:42-43

Yeremia 51:42-43 NEN

Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika. Miji yake itakuwa ukiwa, kame na jangwa, nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake, ambayo hakuna mtu anayepita humo.