Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 47:1-2

Yeremia 47:1-2 NEN

Hili ndilo neno la BWANA lililomjia nabii Yeremia kuhusu Wafilisti, kabla Farao hajaishambulia Gaza: Hili ndilo asemalo BWANA: “Tazama jinsi maji yanavyoinuka huko kaskazini, yatakuwa mafuriko yenye nguvu sana. Yataifurikia nchi na vitu vyote vilivyomo ndani yake, miji na wale waishio ndani yake. Watu watapiga kelele; wote waishio katika nchi wataomboleza