Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:16

Yeremia 23:16 NEN

Hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote asemalo: “Msisikilize wanachowatabiria manabii, wanawajaza matumaini ya uongo. Wanasema maono kutoka akili zao wenyewe, hayatoki katika kinywa cha BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 23:16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha