Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 14:20-21

Yeremia 14:20-21 NEN

Ee BWANA, tunatambua uovu wetu na kosa la baba zetu; kweli tumetenda dhambi dhidi yako. Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. Kumbuka agano lako nasi na usilivunje.