Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 12:1

Yeremia 12:1 NEN

Wewe daima u mwenye haki, Ee BWANA, niletapo mashtaka mbele yako. Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? Kwa nini wasio waaminifu wote wanaishi kwa raha?