Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 4:2-3

Yakobo 4:2-3 NEN

Mnatamani lakini hampati, kwa hiyo mwaua. Mwatamani kupata lakini hampati vile mnavyotaka, kwa hiyo mnajitia katika magomvi na mapigano. Mmepungukiwa kwa sababu hammwombi Mungu. Mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya, ili mpate kuvitumia hivyo mtakavyopata kwa tamaa zenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 4:2-3