Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:9-10

Yakobo 3:9-10 NEN

Kwa ulimi tunamhimidi Bwana, yaani Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu. Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, haistahili kuwa hivyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:9-10