Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:23-25

Yakobo 1:23-25 NEN

Kwa maana kama mtu ni msikiaji tu wa Neno wala hatendi kile linachosema, yeye ni kama mtu ajitazamaye uso wake kwenye kioo na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara husahau jinsi alivyo. Lakini yeye anayeangalia kwa bidii katika sheria kamilifu, ile iletayo uhuru, naye akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosikia, bali akalitenda, atabarikiwa katika kile anachofanya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:23-25