Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:19-21

Yakobo 1:19-21 NEN

Ndugu zangu wapendwa, fahamuni jambo hili: Kila mtu awe mwepesi wa kusikiliza, lakini asiwe mwepesi wa kusema wala wa kukasirika. Kwa maana hasira ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu. Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:19-21