Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 65:23-24

Isaya 65:23-24 NEN

Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na BWANA, wao na wazao wao pamoja nao. Kabla hawajaita, nitajibu, nao wakiwa katika kunena, nitasikia.