Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 65:21-23

Isaya 65:21-23 NEN

Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake, au kupanda mazao na wengine wale. Kwa kuwa kama zilivyo siku za mti, ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, wateule wangu watafurahia kwa siku nyingi kazi za mikono yao. Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na BWANA, wao na wazao wao pamoja nao.