Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 6:4-5

Isaya 6:4-5 NEN

Kwa sauti zao, miimo ya milango na vizingiti vilitikisika, nalo Hekalu likajaa moshi. Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA Mwenye Nguvu Zote.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 6:4-5