Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 42:16-17

Isaya 42:16-17 NEN

Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. Haya ndiyo mambo nitakayofanya; mimi sitawaacha. Lakini wale wanaotumaini sanamu, wanaoviambia vinyago, ‘Ninyi ndio miungu yetu,’ watarudishwa nyuma kwa aibu kubwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 42:16-17