Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:29-31

Isaya 40:29-31 NEN

Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, bali wale wamtumainio BWANA atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:29-31