Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:26

Isaya 40:26 NEN

Inueni macho yenu mtazame mbinguni: Ni nani aliyeumba hivi vyote? Ni yeye aletaye nje jeshi la nyota moja baada ya nyingine na kuziita kila moja kwa jina lake. Kwa sababu ya uweza wake mkuu na nguvu zake kuu, hakuna hata mojawapo inayokosekana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:26