Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:22

Isaya 40:22 NEN

Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. Huzitandaza mbingu kama chandarua, na kuzitandaza kama hema la kuishi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:22