Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 38:3

Isaya 38:3 NEN

“Ee BWANA, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako.” Naye Hezekia akalia kwa uchungu.