Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 11:8

Hosea 11:8 NEN

“Efraimu, ninawezaje kukuacha? Ee Israeli, ninawezaje kukutoa? Nitawezaje kukutendea kama Adma? Nitawezaje kukufanya kama Seboimu? Moyo wangu umegeuka ndani yangu, huruma zangu zote zimeamshwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 11:8