Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 4:12-13

Waebrania 4:12-13 NEN

Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo. Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 4:12-13