Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 10:23-25

Waebrania 10:23-25 NEN

Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu. Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema. Wala tusiache kukutana pamoja, kama wengine walivyo na desturi, bali tuhimizane sisi kwa sisi kadiri tuonavyo Siku ile inakaribia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 10:23-25