Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 6:7

Mwanzo 6:7 NEN

Kwa hiyo BWANA akasema, “Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemuumba kutoka kwenye uso wa dunia, wanadamu na wanyama, pamoja na viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Kwa maana nasikitika kuwaumba.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 6:7