Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 47:7-10

Mwanzo 47:7-10 NEN

Ndipo Yosefu akamleta Yakobo baba yake na kumtambulisha mbele ya Farao. Baada ya Yakobo kumbariki Farao, Farao akamuuliza, “Je una umri gani?” Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.” Kisha Yakobo akambariki Farao, naye akaondoka mbele ya uso wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 47:7-10