Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 41:39-40

Mwanzo 41:39-40 NEN

Ndipo Farao akamwambia Yosefu, “Maadamu Mungu amekufunulia yote haya, hakuna mwingine yeyote mwenye akili na hekima kama wewe. Wewe utakuwa msimamizi wa jumba langu la kifalme, na watu wangu wote watatii amri zako. Ni kuhusu kiti cha ufalme tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 41:39-40