Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 25:23

Mwanzo 25:23 NEN

BWANA akamjibu, “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, na mataifa hayo mawili kutoka ndani yako watatenganishwa. Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 25:23