Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 15:9-10

Mwanzo 15:9-10 NEN

Ndipo BWANA akamwambia, “Niletee mtamba wa ngʼombe, mbuzi na kondoo dume, kila mmoja wa miaka mitatu, pamoja na hua na kinda la njiwa.” Abramu akamletea hivi vyote, akampasua kila mnyama vipande viwili, akavipanga kila kimoja kuelekea mwenzake, lakini hata hivyo ndege, hakuwapasua vipande viwili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 15:9-10