Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:4-6

Ezekieli 37:4-6 NEN

Ndipo akaniambia, “Itabirie mifupa hii na uiambie, ‘Enyi mifupa mikavu, sikieni neno la BWANA! Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo kwa hii mifupa: Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nitawawekea mishipa, nami nitaifanya nyama ije juu yenu na kuwafunika kwa ngozi. Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtakuwa hai. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi BWANA.’ ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ezekieli 37:4-6