Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 9:9-10

Kutoka 9:9-10 NEN

Yatakuwa vumbi jepesi juu ya nchi yote ya Misri, pia yatatokea majipu yenye kufura juu ya watu na wanyama katika nchi yote.” Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Mose akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea miilini mwa watu na wanyama.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 9:9-10