Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 27:20-21

Kutoka 27:20-21 NEN

“Utawaamuru Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili zile taa ziwake mfululizo. Katika Hema la Kukutania, nje ya pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, Aroni na wanawe watahakikisha kuwa taa hizo zinawaka kuanzia jioni mpaka asubuhi mbele za BWANA. Hili litakuwa agizo la milele miongoni mwa Waisraeli kwa vizazi vyote vijavyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 27:20-21