Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 20:2-5

Kutoka 20:2-5 NEN

“Mimi ndimi BWANA Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni, au duniani chini, au ndani ya maji. Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, BWANA Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 20:2-5