Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 17:6-7

Kutoka 17:6-7 NEN

Huko nitasimama mbele yako karibu na mwamba wa Horebu. Uupige mwamba na maji yatatoka ndani yake kwa ajili ya watu kunywa.” Kwa hiyo Mose akafanya haya mbele ya wazee wa Israeli. Naye akapaita mahali pale Masa, na Meriba kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu BWANA wakisema, “Je, BWANA yu pamoja nasi au la?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 17:6-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha