Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 10:13-14

Kutoka 10:13-14 NEN

Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, BWANA akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige. Wakaivamia Misri yote na kukaa kila eneo la nchi kwa wingi. Kamwe hapajapata kuwepo pigo la nzige kama hilo, wala halitakuwepo tena.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 10:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha