Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 1:15-16

Kutoka 1:15-16 NEN

Mfalme wa Misri akawaita wakunga waliowazalisha Waebrania, ambao majina yao yalikuwa Shifra na Pua, akawaambia, “Mtakapowazalisha wanawake Waebrania, chunguzeni wanapojifungua. Ikiwa ni mtoto wa kiume, muueni; lakini ikiwa ni msichana, mwacheni aishi.”

Video ya Kutoka 1:15-16