Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:21-24

Waefeso 4:21-24 NEN

Kama hivyo ndivyo ilivyo, ninyi mmemsikia, tena mmefundishwa naye, vile kweli ilivyo katika Yesu. Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu, ili mfanywe upya roho na nia zenu, mkajivike utu mpya, ulioumbwa sawasawa na mfano wa Mungu katika haki yote na utakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:21-24