Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 1:4-5

Waefeso 1:4-5 NEN

Kwa maana alituchagua katika yeye kabla ya kuumbwa ulimwengu ili tuwe watakatifu na bila lawama mbele zake. Kwa upendo alitangulia kutuchagua tuwe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo kwa furaha yake na mapenzi yake mwenyewe.