Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 7:7

Kumbukumbu 7:7 NENO

Mwenyezi Mungu hakuweka upendo wake juu yenu na kuwachagua kwa sababu mlikuwa wengi mno kuliko watu wengine, kwa maana ninyi ndio mliokuwa wachache sana kuliko mataifa yote.