Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 32:10-11

Kumbukumbu 32:10-11 NEN

Katika nchi ya jangwa alimkuta, katika nyika tupu ivumayo upepo. Alimhifadhi na kumtunza; akamlinda kama mboni ya jicho lake, kama tai avurugaye kiota chake, na kurukaruka juu ya makinda yake, ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, na huwachukua kwenye mabawa yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 32:10-11