Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 30:17-18

Kumbukumbu 30:17-18 NEN

Lakini kama moyo wako ukigeukia mbali ukawa huna utii, kama umevutwa kuisujudia miungu mingine na kuiabudu, nakutangazia leo hii kwamba hakika utaangamizwa. Hutaishi maisha marefu katika nchi unayovuka Yordani kuiingia na kuimiliki.

Video for Kumbukumbu 30:17-18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 30:17-18