Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 19:1-3

Kumbukumbu 19:1-3 NEN

Wakati BWANA Mungu wenu atakapokuwa amewaangamiza mataifa ambayo nchi yao anawapa ninyi, wakati mtakapokuwa mmewafukuza na kuishi katika miji yao na nyumba zao, ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kuimiliki. Jengeni barabara katika miji hiyo na kuigawa mara tatu, nchi anayowapa BWANA Mungu wenu kama urithi, ili kwamba yeyote amuuaye mtu aweze kukimbilia humo.

Video for Kumbukumbu 19:1-3