Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 28:26-27

Matendo 28:26-27 NEN

“ ‘Nenda kwa watu hawa na useme, “Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; na pia mtatazama, lakini hamtaona.” Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; hawasikii kwa masikio yao, na wamefumba macho yao. Wasije wakaona kwa macho yao, na wakasikiliza kwa masikio yao, wakaelewa kwa mioyo yao, na kugeuka nami nikawaponya.’

Video for Matendo 28:26-27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 28:26-27